Shirika la habari la Korea Kaskazini limesema Kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un amesimamia jaribio la kurusha aina mpya ya kombora la masafa marefu katika mikakati ya kuimarisha mifumo ya ulinzi ...
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imetangaza kwamba ndege zake za mabomu za kimkakati za masafa marefu zimeruka juu ya eneo la maji la kimataifa katika Bahari ya Japani na Bahari ya Okhotsk. Wizara hiyo ...
Katika ripoti yake, shirika hili lisilo la kiserikali linataja mifano mingine na kukemea matumizi ya silaha hizi za masafa marefu, zenye nguvu nyingi za milipuko na athari kubwa. "Mabomu ...
Mawaziri hao wamekutana leo mjini Dar Es Salaam, Tanzania katika kikao kinachotangulia mkutano wa marais wa jumuiya hizo utakaofanyika hapo kesho ili kutafuta suluhu ya mgogoro huo. Na Dinah ...
Aliongeza: "Baba yetu mwanzilishi aliishi maisha marefu na yenye matokeo ambayo alitumikia kipekee watu wa nchi yake anayoipenda." Nujoma alistaafu kama mkuu wa nchi mwaka 2005, lakini aliendelea ...
“Baba yetu mwanzilishi wa Taifa, aliishi maisha marefu na yenye matokeo ambayo alitumikia kwa njia ya kipekee watu wa nchi yake anayoipenda. Baba yetu Mwanzilishi aliwapanga kishujaa watu wa Namibia ...
Askofu Dk. Malasusa alisema hayo jana jijini Mwanza wakati akifungua mafunzo ya siku tatu kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini yaliyoandaliwa na KKKT kupitia Upendo Media ...
Baba yetu Mwanzilishi aliishi maisha marefu na yenye mchango mkubwa. “Alilitumikia taifa lake kwa upekee. Aliongoza kwa ushujaa watu wa Namibia katika nyakati ngumu zaidi za mapambano ya ukombozi, ...
Kwanza, kama wachambuzi watakuwa na elimu ya michezo mbalimbali, wataweza kuichambua kwa marefu na mapana na kuiongeza ufahamu kwa tabaka la watu wote hasa kizazi kijacho. Kwa mwendo wanaokwenda nao ...
Kagoma anayafanya hayo ukiwa ni msimu wake wa kwanza ndani ya kikosi cha Simba huku akimuweka benchi Mzamiru ambaye amehudumu kwa muda marefu Simba akitwaa mataji mbalimbali na kuwa miongoni mwa ...
Msimu ulipoanza jamaa akapewa sana nafasi lakini kiwango chake hakikuwa kinawavutia wengi kiasi ambacho ilionekana wazi hatokuwa na maisha marefu ndani ya kikosi cha lunyasi kilichosheheni kweli hivi ...
Kushoto dereva wa pikipiki za magurudumu mawili (Bodaboda ) Metusi Eliasi, kulia ni kijana Daniel Lukosi kutoka OJO, walipojitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama. Kahama.