Katika kipindi cha Sentro Bash kinachorushwa na Clouds TV, kila mmoja kwa wakati wake alitoa pongezi kwa Rais na kumwombea maisha marefu ili aendelee kuiongoza Tanzania katika kipindi cha miaka mitano ...
Askofu Dk. Malasusa alisema hayo jana jijini Mwanza wakati akifungua mafunzo ya siku tatu kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini yaliyoandaliwa na KKKT kupitia Upendo Media ...
Kushoto dereva wa pikipiki za magurudumu mawili (Bodaboda ) Metusi Eliasi, kulia ni kijana Daniel Lukosi kutoka OJO, walipojitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama. Kahama.
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imetangaza kwamba ndege zake za mabomu za kimkakati za masafa marefu zimeruka juu ya eneo la maji la kimataifa katika Bahari ya Japani na Bahari ya Okhotsk. Wizara hiyo ...
Ni mkorofi lakini ukorofi wa kusimamia ukweli na taratibu, tumesema kwenye timu kama Pamba ambapo kuna watu ni kama jeshi la kambale wana masharubu marefu wanatakiwa wapewe mtu kama huyu,” amesema ...
Shirika la habari la Korea Kaskazini limesema Kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un amesimamia jaribio la kurusha aina mpya ya kombora la masafa marefu katika mikakati ya kuimarisha mifumo ya ulinzi ...
Two Rivers,Ruaka na pia vipo Kisumu na Nakuru.Kwa madereva wa masafa marefu mipango ipo kuweka vituo njiani.” anasimulia. Kwa upande wake, mradi wa UNEP wa Tusonge na EVs, unaendelea katika mataifa 9 ...
“Mialiko ya kimataifa inayowatambua Watanzania kama mabingwa wa mbio za masafa marefu ndiyo inawafanya Watanzania kutozipenda mbio fupi (sprint) na mbio za masafa ya kati (middle distance races) ...
Katika ripoti yake, shirika hili lisilo la kiserikali linataja mifano mingine na kukemea matumizi ya silaha hizi za masafa marefu, zenye nguvu nyingi za milipuko na athari kubwa. "Mabomu ...
Kundi hilo linaendelea kurusha makombora kaskazini mwa Israel na bado linaaminika kuwa na silaha kubwa ya makombora ya masafa marefu. Huu hapa mwongozo mfupi wa hatua zilizopigwa hivi karibuni.
Ambapo hapo zamani nyumba moja yenye orofa mbili ilionekana kwa mbali, sasa kuna majumba marefu ya ajabu, na watalii na wafanyabiashara kutoka sehemu zote za dunia, ambao kipaumbele chao kilikuwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results