Pemba ina mikoa miwili. Mmoja Kusini Pemba, mwingine Kaskazini Pemba. Kusini ndiyo mjini, makao makuu ya Kisiwa cha Pemba.